Watoto wayatima kutoka sehemu mbalimbali waliohudhuria katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima yaliofanyika katika Ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani Zanzibar.maadhimisho haya yameandaliwa na Jumuiya ya Muzdalifah wakishirikiana na Jumuiya ya I,HH,Insani Yardim Vakfi ya Uturuki.

-Mwanafunzi Abubakari Mkubwa akiwa ni miongoni mwa watoto yatima akisoma Kurani tukufu katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima yaliofanyika katika Ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani Zanzibar.maadhimisho haya yameandaliwa na Jumuiya ya Muzdalifah wakishirikiana na Jumuiya ya I,HH,Insani Yardim Vakfi ya Uturuki.
Katibu mtendaji wa Jumuiya ya Muzdalifah Farouk akitoa nasaha zake kwa wageni mbalimbali waliohudhuria katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima yaliofanyika katika Ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani Zanzibar.maadhimisho haya yameandaliwa na Jumuiya ya Muzdalifah wakishirikiana na Jumuiya ya I,HH,Insani Yardim Vakfi ya Uturuki.
Wasanii mbalimbali kutoka bara na Zanzibar walishiriki katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima yaliofanyika katika Ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani Zanzibar.maadhimisho haya yameandaliwa na Jumuiya ya Muzdalifah wakishirikiana na Jumuiya ya I,HH,Insani Yardim Vakfi ya Uturuki.
Mbunge wa Bunge la Uturuki Ibrahimi Korkmaz akizungumza kwa niaba ya Balozi wa Uturuki na kutoa nasaha katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima yaliofanyika katika Ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani Zanzibar.maadhimisho haya yameandaliwa na Jumuiya ya Muzdalifah wakishirikiana na Jumuiya ya I,HH,Insani Yardim Vakfi ya Uturuki.
No comments :
Post a Comment