Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, April 15, 2016

OLE SENDEKA AKUTANA NA MAKATIBU NA WAJUMBE WA KAMATI YA SIASA WILAYANI HAI MKOANI KILIMANJARO

Msemaji wa CCM, Chrisopher Ole Sendeka akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Hai, Dk Amini Uronu, baada ya kuwasili Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Kilimanjaro leo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius Ruta
Msemaji wa CCM, Chrisopher Ole Sendeka akisalimiana na Katibu wa CCM wilaya ya Hai, Katibu Allan Kingazi, baada ya kuwasili Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Kilimanjaro leo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius Ruta
Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili Ofisi ya CCM wilaya ya Hai, leo
Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisi ya CCM wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Dk Amini Uronu
Mjumbe wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Kilumbe Ng'enda akiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius Ruta, kwenye ofisi ya CCM wilaya ya Hai
Msemaji wa CCM Oe Sendeka akizungumza na wajumbe wa Sekretatieti ya CCM wilaya ya Hai
Madereva Yahaya Chillumba na Maoud Fundikira wakiwa imara baada ya kuwasili na msafara wa Msemaji wa CCM Ole Sendeka katika Ofisi ya CCM wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro leo
Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akiingia ukumbini kuzungumza na Makatibu na Wajumbe wa Kamati ya Siasa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro leo
Katibu wa CCM wilaya ya Hai akimkaribisha Ole sendeka
Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanajro akizungumza maneno ya utangulizi kabla ya Ole Sendeka kuzungumza katika kikao hicho
Wajumbe wakiwa ukumbini katika kikao hicho
Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akiteta jambo na Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Gratius Ruta wakati wa kikao hicho
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Hai, Dk Amini Uronu akimkaribisha Ole Sendeka kuzungmza katika kikao hicho
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Hai, Dk Amini Uronu akimkaribisha Ole Sendeka kuzungmza katika kikao hicho
Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akizungumza na Makatibu na Wajumbe wa Kamati ya Siasa wa wilaya ya Hai mkoani Kiimanjaro leo.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments :

Post a Comment