Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, October 11, 2016

MJADALA RASILIMALI MAFUTA YA ZANZIBAR KWENDA TANGANYIKA!

Zanzibar tumevaa wigi wakati hatuna nywele, tunadanganya watu" Othman Masoud - ex CAG. Suala la Lutham Island haliwezi kudharauliwa hata kidogo" - Omar Said Shaaban - Rais wa Chama cha Wanasheria Zanzibar. 
 Maslahi ya nchi kuyafanyia siasa ni kosa kubwa sana" - Othman Masoud - ex CAG. Sisi Zanzibar tunapenda kujidanganya kitu ambacho kwa kweli 'we are very unfair' kwa watu ambao wametuamini, mimi nadhani tuwe wakweli kwa watu ambao wametuamini" - Othman Masoud - ex CAG.

No comments :

Post a Comment