Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, October 4, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA SALVADOR VALDES MESA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Valdes Mesa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuonesha Kinyago cha Twiga Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Valdes Mesa kabla ya kumkabidhi kama zawadi Ikulu jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuonesha picha ya wanyama Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Valdes Mesa kabla ya kumkabidhi kama zawadi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Valdes Mesa akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kumaliza mazungumzo yao 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Valdes Mesa mara baada ya kumaliza Mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

 

No comments :

Post a Comment