Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Palestina katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Hazem Shabat alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]23/11/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi wa Palestina katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Hazem Shabat alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]23/11/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Balozi wa Palestina katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Hazem Shabat alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao,[Picha na Ikulu.]23/11/2016.
No comments :
Post a Comment