Amber Resorts Zanzibar
Penny Royal (Gibraltar) Ltd zanzibar.
Hotel ya kisasa inayoendelea kujengwa Zanzibar, katika kijiji cha Matemwe Pujini.
Hotel hii ni moja kati ya Hotel ya kipee ambayo haikuwahi kutokea Afrika, ujenzi wake unachukua zaidi ya miaka 11 japo kuwa ni miaka 9 tu iliyobaki mpaka kukamilika kwake.
Yafahamu mambo machache kuhusu Amber Resorts Zanzibar:
1- Resturant ya chini ya bahari, migahawa yake yote itakuwa chini kabisa ya bahari.
2- Uwanja wa kisasa wa Golf, Mchenzo unaopendwa na matajiri duaniani.
3- Uwanja wa ndege wa kujitegemea wenye kupokea ndege maalum za matajiri duaniani( Private Jet)zitakazo tua moja kwa moja hotelini hapo.
4- Uwezo wake wa ajira zaidi ya vijana 1500 kunufaika na ajira.
5- Apartments za kisasa za kujitegemea nje ya huduma za kihotel.
6- Sehemu kubwa za kupaki boti za kisasa zaidi ya 10.
7- Ufukiaji wa bahari, na kutengeneza visiwa vidogo vidogo vyenye makaazi na huduma za kitalii kama vile, swimming pool n.k
8- Gharama yake ni zaidi ya $dola za kimarekani million 800
9- Watersports za kisasa
10- Zaidi ya kilomita 12 kutoka barabara kuu ya matemwe mpaka kuifikia hotel.
http://amberzanzibar.com/
http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2016/12/kampuni-ya-pennyroyal-gibraltar-limited.html
http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2016/12/kampuni-ya-pennyroyal-gibraltar-limited.html
No comments :
Post a Comment