Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, December 30, 2016

Kijana mlemavu aunda pikipiki ya vijiti!

Je umewahi kujionea pikipiki iliyoundwa kwa vijiti? Ikiwa hujaona basi nafasi ndiyo hii. Ubunifu wa kijana mdogo ambaye ni bubu bin kiziwi, walakini ameunda pikipiki kwa kuunganisha vijiti kwa mipira na kuiweka vitu vyote vinavyohitajika. Swali ni hili ubunifu kama huo ukishatambuliwa na wanahabari je serikali na wadau wengine wanachukua hatua gani kuhakikisha vipaji hivyo havitupwi katika kaburi la sahau.

No comments :

Post a Comment