Watoto wa Marehemu Alhaji Professor Idris Ali Mtulia Wakiwa Abi na Yusufu Mtulia wakiwa na Muheshimiwa Balozi Mstaafu Mzee Mustafa Nyanganyi pamoja na Mke wa balozi Nyanganyi kwenye Shughuli ya Kisomo iliyofanyika DMV.
Familia ya Alhaji Professor Idris Ali Mtulia Inapenda kuwashukuru watanzania na wengine wote kwa kuwa nao kwenye kuomboleza toka msiba ulipotokea, mazishi, visomo, michangio na mpaka hii leo. Familia inamuomba mungu awazidishie ninyi na vizazi vyenu mambo yote ya kheri.
Baadhi ya Walioudhuria kisomo wakiwa kwenye kisomo
VIJIMAMBO
No comments :
Post a Comment