Baadhi ya Wakulima wa Bonde la Malindi Tundauwa , wakimuonesha Mwandishi wa habari wa Zanzibar leo ,athari ya uharibifu wa mazingira uliofanywa na Wananchi wanaochukuwa mchanga katika mashamba ya kilimo cha mpunga na kusababisha mashamba hayo kuingiwa na maji Chumvi

Baadhi ya Mashamba hayo yalivoathirika na kuingiwa na chumvi na kushindwa kutumika tena kwa kilimo huko katika bonde la malindi Tundauwa Pemba.
/ZanziNews
No comments :
Post a Comment