Mkurugenzi Mtendaji wa jamii forums, Maxence Melo amekamatwa na jeshi la polisi kituo cha kati Dar es Salaam leo kwa makosa ya mtandao.
Inasemekana kuwa Maxence atafikishwa mahakamani hapo kesho kwa kosa la kushindwa kutoa ushirikiano kwa mamlaka.
Inasemekana kuwa Maxence atafikishwa mahakamani hapo kesho kwa kosa la kushindwa kutoa ushirikiano kwa mamlaka.
Inasemekana kumekuwa na shinikizo linalomtaka Mkurugenzi huyo kutoa majina ya baadhi ya watumiaji wa mtandao huo mkubwa wa masuala mbalimbali ya jamii wa jamii forums.
Taarifa zaidi zitakujia baadaye.
Source: Mtanzania
Taarifa zaidi zitakujia baadaye.
Source: Mtanzania
No comments :
Post a Comment