Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, December 5, 2016

Ujenzi wa Jumba la Treni Darajani Waanza Maandalizi Yake Unaofanywa nma Kampuni ya Kichina.!


Maandalizi ya Ujenzi wa Jengo la Darajani Maarufu kwa jina la Jumba La Treni tayari maandalizi ya ujenzi huo yameanza baada ya kupatikana mkandarasi wa ujenzi huo. 

Jengo hilo liko chini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar kulifanyia matengenezo makubwa na kulifanya la kisasa na kuwa na maduka ya kileo.

Ujenzi huo unafanywa na kampuni ya ujenzi ya kichina.

No comments :

Post a Comment