Mh. Juma Ali Juma akionesha fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Dimani Kwa tiketi ya Chama cha CCM ,mara tuu baada ya kuchukuwa katika Ofisi za muda za tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) ziliopo Skuli ya Sekondari ya Kiembe samaki. Kulia ni Ali Suleiman Shihata, kushoto wa mwanzo Abdalla Faki Mwenyekiti wa ccm Wilaya ya diman kichama, alovaa kofia ni Mjumbe Msuri Mjumbe Mwenyekiti wa wilaya ya Mfenesini kichama.
Mh Abdulrazak
Mgombea wa CUF Jimbo la Dimani amechukua Fomu za Uteuzi kwenye Ofisi ya NEC Wilaya ya Magharib B siku ya Jpili tarehe 18/12.
No comments :
Post a Comment