Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, January 30, 2017

Video: Rais Magufuli Alivyohutubia kwa Kiswahili Huko Ethiopia!



Jengo la amani na usalama lililopo makao makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Mjini Addis Ababa nchini Ethiopia jana tarehe 29 Januari, 2017 limetangazwa rasmi kuwa litaitwa Mwalimu Julius Nyerere.

Rais Magufuli alipewa heshima ya kutangaza rasmi kuanza kufanya kazi kwa jengo
==>Msikilize hapo juu akihutubia  kwa Kiswahili.

No comments :

Post a Comment