Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, February 26, 2017

Hafla ya kuchangia fedha za Hospitali za Kivunge na Makunduchi yafanyika Park Hyatt Hotel!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (aliyesimama) katikati alipokuwa akitangaza mchango wake wa fedha Shilingi za Kitanzania Millioni Kumi zilizochangwa jana wakati wa hafla ya chakula cha usiku iliyotayarishwa na Wizara ya Afya katika ukumbi wa Park Hayatt Hoteli kwa ajili ya kusaidia Hospitali ya Makunduchi na Kivunge pamoja na maadhimisho ya miaka kumi ya Mradi wa kuendeleza huduma za Afya Zanzibar (HIPZ),[Picha na Ikulu.] 25/02/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akisalimiana na Mwenyekiti wa HIPZ RU Mac Donagh wakati alipowasili viwanja vya Park Hayatt Hoteli jana katika hafla ya chakula cha usiku iliyotayarishwa na Wizara ya Afya katika ukumbi wa kwa ajili ya kusaidia Hospitali ya Makunduchi na Kivunge pamoja na maadhimisho ya miaka kumi ya Mradi wa kuendeleza huduma za Afya Zanzibar (HIPZ),[Picha na Ikulu.] 25/02/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya chakula cha usiku iliyotayarishwa jana na Wizara ya Afya kuchangia fedha kwa ajili ya kusaidia Hospitali ya Makunduchi na Kivunge pamoja na maadhimisho ya miaka kumi ya Mradi wa kuendeleza huduma za Afya Zanzibar,(HIPZ) hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Park Hayatt Hoteli Mji mkongwe wa Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 25/02/2017.

Baadhi ya Viongozi na Wageni mbali mbali wakiwa katika hafla ya chakula cha usiku iliyotayarishwa na Wizara ya Afya ya kuchangia fedha kwa ajili ya kusaidia Hospitali ya Makunduchi na Kivunge pamoja na maadhimisho ya miaka kumi ya Mradi wa kuendeleza huduma za Afya Zanzibar,(HIPZ) hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Park Hayatt Hoteli Mji mkongwe wa Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 25/02/2017.

Mwenyekiti wa Mradi wa kuendeleza huduma za Afya Zanzibar,(HIPZ) RU Mac Donagh alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya chakula cha usiku iliyotayarishwa jana na Wizara ya Afya kuchangia fedha kwa ajili ya kusaidia Hospitali ya Makunduchi na Kivunge pamoja na maadhimisho ya miaka kumi ya Mradi wa kuendeleza huduma za Afya Zanzibar,(HIPZ) hafla iliyofanyikakatika ukumbi wa Park Hayatt Hoteli Mji mkongwe wa Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 25/02/2017.

No comments :

Post a Comment