Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, February 20, 2017

Kamishna mpya wa Dawa za kulevya afunguka yanayoendelea!

Ishu ya dawa za kulevya ndio inamiliki headlines sasa hivi ambapo Rais Magufuli alimteua Rogers Sianga kusimamia kitengo hicho cha kupambana na dawa za kulevya. Kamishna Rogers amehojiwa na AzamTV kupitia FUNGUKA na kueleza mambo mbalimbali.

No comments :

Post a Comment