Meli Mpya ya abiria ya Kampuni ya Azam Marine Sea Link 2 ikifunga gati katika bandari ya Malindi Zanzibar baada ya kuaza safari zake kwa kutowa huduma ya usafiri kwa wananchi wa Unguja Dar es Salaam Pemba na Tanga imekuwa muokozi kwa wananchi wa sehemu hizo kupata usafiri wa uhakika na salama kwa abiria na mizigo yao.
Meli ya Sea Link 2 ikiwasili katika bandari ya Malindi Zanzibar
No comments :
Post a Comment