Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, February 19, 2017

Mahakama malizeni kesi za Ugaidi tujue Moja- Tamko la Masheikh


Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Rajab Katimba akizungumza na waandishi wa habari. 

Dar es Salaam. Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania imezitaka mahakama kuharakisha kesi za ugaidi zinazowakabili waislamu mbalimbali nchini kwasababu wamekaa zaidi ya miaka mitatu jela.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, msemaji wa jumuiya hiyo, Sheikh Rajab Katimba amesema taasisi hiyo inapinga vitendo vya ughaidi ila wote walioshikiliwa wanatakiwa uchunguzi ukamilike ifahamike kama wamehusika au la.

"Masheikh na waumini mbalimbali wamekamatwa karibu kila mkoa nchini, inadaiwa uchunguzi unaendelea na miaka inaenda. Mahakama iharakishe kesi hizo," amesema Sheikh Katimba.

No comments :

Post a Comment