Msanii kutoka Nchi Somaliland Sahra Halgan Trio akitowa burudani ya muziki wa Kisomali katika viwanja vya bustani ya Forodhani Zanzibar wakishiriki katika Tamasha la Busara Zanzibar linaloendela katika viwanja hiyo na vya Mambo Club Ngome Kongwe Zanzibar kwa kuwashirikisha wasanii 400 kutoka katika Nchi za Afrika.
Utambue Mtaa maarufu katika mitaa ya Mji Mkongwe na kivutio kwa wageni wanaitembelea katika mitaa ya mji mkongwe kwa vivutio vya majengo yake ya zamani yaliojengwa kwa kutumia mawe na udongo wakati wa enzi hizo. Mitaa ya Mji Mkongwe ikiwa imezungukwa na sehemu nyingi za historia ya Zanzibar kwa majengo mbalimbali.
Watalii wakiwa katika mtaa wa shangani Zanzibar wakiangalia vitu vya kitalii katika maduma ya mtaa huo wakati wakiwa katika matembezi yao katika mitaa ya kihistoria ya Zanzibar.
/ZanziNews.
No comments :
Post a Comment