Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, February 24, 2017

Polisi DSM: Sirro ajibu ya Freeman Mbowe na Steve Nyerere!

Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro leo February 24 2017 amekutana na waandishi wa habari na kutoa taarifa kuhusu ukamataji wa Watuhumiwa wa dawa za kulevya, utumiaji na usambaji wa dawa za hizo ambapo amesema watuhumiwa 257 wamekamatwa kuanzia February 16 2017 mpaka February 23 2017. Pamoja na hayo Kamanda Sirro amejibu maswali ya waandishi likiwamo kuhusu kumshikilia Mchekeshaji Steve Nyerere.

No comments :

Post a Comment