Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, February 20, 2017

Raza amuunga mkono Rais Magufuli vita dhidi ya matumizi ya madawa ya kulevya!


Mohammed Raza MWAKILISHI wa Jimbo la Uzini Zanzibar Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Mohammed Raza, leo amezunguamza na waandishi wa habari kuunga mkono vita dhiti ya madawa ya kulevya
Mohammed Raza na wanahabari (kushoto).
Raza ambaye pia ni kada wa Chama cha mapinduzi leo jijini Dar es Salaam, amepongeza juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano dhidi ya vita ya matumizi ya madawa ya kulevya na pia amemuunga mkono mh Rais John Pombe Magufuli kwa jitihada zake kuhakikisha analinusuru taifa.

No comments :

Post a Comment