Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, February 23, 2017

Taarifa ya Mazishi ya Ndugu Yetu Abdallah Khelef Shauri (DULLA) Nchini Norway Siku ya Jumatatu tarehe 27-2-2017!

Innaa lillaahi Wainna ilayhi Raajiun.


Taarifa ya mazishi ya Ndugu yetu Abdallah Khelef Shauri (DULLA) yatakayofanyika Nchini Norway na kuzikwa katika Makaburi ya Kiislamu Skonger Drammen tarehe 27-2-2017

Jumatatu saa 6 mchana.(12 CET)

Mwili wa marehemu utaoshwa katika hospitali ya Drammen saa 1 asubuhi na watu watauona katika muda wa saa mbili asubuhi (8:00 CET) Na kusaliwa kwa ajili ya mazishi katika makaburi ya kiislamu Ndugu Jamaa na Marafiki wote mnaarifiwa kushiriki katika msiba huo kwa ajili ya mazishi kumstiri muislamu mwenzetu. 


MOLA AMLAZE PEMA PEPONI, AMEEN!

No comments :

Post a Comment