Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, February 25, 2017

Timu ya Madaktari Bingwa wa Maradhi ya Macho Kutoka Nchini Sweden Wakitowa Huduma hiyo kwa Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki Katika Kituo cha Walimu Skuli ya Sekondari ya Kiembesamaki Zanzibar.!

Daktari Bingwa wa maradhi ya macho kutoka Nchini Sweden Dk Stefan Jernberg, akimfanyia uchunguzi wa macho Mwananchi aliyefika katika zoezi hilo la kupimwa macho Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar na wananchi wa maeneo ya jirani na jimbo hilo yaliotolewa na Taasisi ya Specsavers kutoka Nchini Sweden.
Dk Stefan Jernberg akiwa katika zoezi la kuwafanyia uchunguzi wa macho wananchi wa jimbo la kiembesamaki Zanzibar na kupatiwa miwani bure baada ya kugundulikana kuwa na matatizo ya kutokuona mbali na kutokuweza kusoma.

Dk Linus Johansson akimfanyia kipimo cha macho kujua saizi gani ya miwani inafaa kwa matumizi wakati wa zoezi hilo la kutowa miwani na kuwapima macho.na kugawa miwani.

No comments :

Post a Comment