Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, February 19, 2017

Uzinduzi wa Bank ya Equity Tawi la Zanzibar Mtaa wa Mlandege!

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Tanzania Mr. Joseph Iha akimpokea mgeni rasmin Waziri wa Ardhi Maji na Nishati Zanzibar Mhe Salama Aboud Talib, akimuwakilisha Waziri wa Fedha Zanzibar katika ufunguzi wa Tawi la Benki ya Equity Mlandege Zanzibar. 
Waziri wa Ardhi Maji na Nishati na Mazingira Zanzibar Mhe Salama Aboud Talib akisalimiana na Wajumbe wa Bodi ya Benki ya Equity alipowasili katika viwanja vya Benki hiyo kwa ajili ya uzinduzi wake. 
Waziri wa Ardhi Maji Nishati na Mazingira Zanzibar Mhe Salama Aboud Talib akisalimiana na Mjumbe wa Benki ya Equity alipowasili katika viwanja vya benki hiyo mlandege Zanzibar kwa ajili ya uzinduzi wake.

Waziri wa Ardhi Maji Nishati na Mazingira Mhe Salama Aboud Talid akiondoa kipazia kuashiria Uzinduzi wa Tawi la Benki ya Equity Malandege Zanzibar, akiwa na Wajumbe wa Bodi ya Benki hiyo. 
Waziri wa Ardhi Maji Nishati na Mazingira Mhe Salama Aboud Talib akisoma maneno ya jiwe la msingi la Benki ya Equity Malandege Zanzibar baada ya kulizindua rasmin akimuwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk. Khalid Salum Mohammed. 
Waziri wa Ardhi Maji Nishati na Mazingira Mhe Salama Aboud Talib akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi la Benki ya Equity Mlandege Zanzibar, anayeshuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Equity Benk Tanzania Mr. Joseph Iha na Wajumbe wa Bodi wa Benki hiyo. 

















Wafanyakazi wa Benki ya Equity wakimsikiliza mgeni rasmin akitowa hutuba yake wakati wa ufunguzi wa benki hiyo mlandege Zanzibar.
 Wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo ya uzinduzi wa Benki ya Equity Mlandege Zanzibar
Wafanyakazi wa Benki ya Equity wakimsikiliza mgeni rasmin akitowa hutuba yake wakati wa ufunguzi wa benki hiyo mlandege Zanzibar.

Waziri wa Ardhi Maji Nishati Mhe Salama Aboud Talib akiangalia bidhaa za Mjasiliamali aliyepata mafanikio kupitia Benki hiyo kwa kupata mkopo kuendeleza biashara yake hiyo ya kutengeneza bidhaa za sabuni kutumia mwani. 
Wakala wa Benki ya Equity akitowa maelezo kwa mgeni rasmin Waziri wa Ardhi Maji Mhe Salama Abaoud baada ya kulizindua Tawi la Benki ya Equity Mlandenge Zanzibar. akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo Joseph Iha. 
Wafanyakazi wa Benk ya Equity wakinunua bidhaa za Mdau wa Benk hiyo amepata manufaa ya biashara yake kupitia mkopo wa Benki ya Equity na kumuwezesha kufanya biashara yake kwa utulivu.


/ZanziNews

No comments :

Post a Comment