zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, March 4, 2017

China yaongeza bajeti yake ya jeshi!

China yaongeza bajeti yake ya kijeshi siku chache baada ya Marekani kutangaza hatua kama hiyo
China imesema itaongeza bajeti ya matumizi ya jeshi lake, kwa karibu asilimia saba mwaka huu.

Tangazo hilo limetolewa siku kadhaa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump, kutoa muongozo wa mpango wake wa kuongeza bajeti ya matumizi ya jeshi la Marekani, kwa karibu asilimia kumi.

Katika miaka ya hivi karibuni, China imekuwa katika harakati ya kuboresha vikosi vyake vya uslama kadri uchumi wake unavyoendelea kukuwa lakini bajeti yake ya ulinzi bado ni ndogo ikilinganishwa na ile ya Marekani.

No comments :

Post a Comment