BIASHARA YA VIBATARI!
AS THEY SAY,"NECESSITY IS THE MOTHER OF INVENTION"!
BIASHARA YA KANDILI!
Ewe wangu kibatari Utulize moyo wako
Wewe bado u mzuri Liondowe sononeko
Umeme ulinighuri Kukusahau mwenzako
Lakini sasa tayari Takutafuta uliko
0000000000000000000000000
Huna moja la ukweli, sinihadae kwa tungo
Kamdanganye kandili, sokujua kwa urongo
Sisemi kuwa fedhuli, nalijua lako lengo
Usemayo si yakweli, taka wanga na vibwengo
Usiku kucha silali, takesha kwenye mlango
/Compiled from various artists!
No comments :
Post a Comment