Hollingsworth ni Mwalimu wa mwanzo kuletwa Unguja ( Zaznibar) na seriakli ya Kingereza ili awasomeshe Wa-Zanzibaris na bila ya shaka alifanya kazi yake kwa juhudi kubwa sana na kwa uamninifu wa kupigiwa mfano. Hawa wote aliopiga picha nao ni wanafunzi wake ambawo baadaye wamekuwa wasomi wa Zanzibar na kuiongoza nchi hio hadi mwaka 1964 ilipopata Uhuru wake.
Yaliyopo hapo chini ni majina ya baadhi ya wale waliyomo katika picha. Anayetaka kuongeza au kusahihisha au kubandika kila jina kwenye picha husika atafaidika kutokana na nyongeza hii:
Said Ilyas, Maalim Saleh Jahadhmy, Abdallah M. Aboubakar, Khalifa Omar, Khamis Alawi, Rajab Himidi, Mhamed Athmani, Othman Sharif, Mhamed Shamte, Kassim Abdulhafidh, Mhamed Juma, Zam Ali Abbas, Aboud Jumbe, Ali Hassan Mwinyi, Zubeir Rijali, Uledi Jaabu, Sultan bin Issa, Ali Ahmed Jahadhmy, Ramadhan Abdallah, Maasoud Borafia, Ali Yousuf, Syd Omar Abdallah, Ali Muhsin Barwani, Mhamed Salim Hilali Jinja, Omar Zahrani, Maalim Jaafar Sheraly, Daud Tajidine, Abdallah Amour, Sheikh Abdallah Farahani, Ibrahim Khalid, Ahmed Seif Kharus, Ali Said Kharusi, Juma Alley Al-Abrawi, Himidi Msoma
No comments :
Post a Comment