dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, March 19, 2017

MAULID YA KUMSALIA MTUME MUHAMMAD(S.W.A) YAFANA SEGEREA MWISHO,DAR!

Siku ya jumamosi ya 11 Machi 2017 katika viwanja vya madrasat Rahman iliyopo Segerea Mwisho ,Dar-es-salaam palikuwa hapatoshi kwa mkusanyiko wa waumini wa dini ya Kiislam waliokusanyika katika shughuli ya kisomo cha maulid ya kumsalia mtume Muhammad(s.a.w),shughuli hiyo ya Maulid ilifana sana kwa kuudhuliwa na wingi wa waumini ,wanazuoni na viongozi mbali mbali wa dini hiyo. unaweza kujumuika nao katika at Rahman Madrasa Segerea


No comments :

Post a Comment