dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, March 19, 2017

Tundu Lissu akihutubia kwa mara ya kwanza baada ya kuchaguliwa kuongoza Tanganyika Law Society!

Mwanasheria Tundu Lissu ameibuka na ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika 'TLS. Katika uchaguzi huo uliofanyika ktk ukumbi wa kimataofa wa mikutano wa Arusha 'AICC' Lissu alitangazwa mshindi kwa kupata kura 1,411 kati ya kura 1,682 zilizopigwa.

No comments :

Post a Comment