Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, March 8, 2017

MTUHUMIWA WA MAUWAJI YA KINYAMA ZANZIBAR ASHIKILIWA NA POLISI!


Mtu mmoja ambae alisemekana amesafiri miaka miwili iliyopita Samira Sultan Abdallah maarufu KINDI Mwenye umri wa miaka 56, Juzi amepatikana mifupa inayofikiriwa kuwa ni ya mwili wake.

Mifupa hiyo imepatikana kwenye karo ubavuni mwa nyumba aliyokuwa akiishi kukiwa na nguo, handbag na vitu vingine vya kusafiria. Polisi wanaifanyia uchunguzi mifupa hiyo na fuvu la kichwa kuona kuwa ni yeye bibi Samira.

MTUHUMIWA WA KITENDO HICHO NI HUYU HAPA JUU AKIWA ANAHOJIWA NA POLISI KULE MUEMBE MADEMA, ZANZIBAR!



No comments :

Post a Comment