zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, March 15, 2017

Rais wa Zanzibar Dk Shein Azungumza na Mkuu wa Majeshi Ikulu Zanzibar!


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Jenerali Venance S. Mabeyo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo, 15/03/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Jenerali Venance S. Mabeyo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo.
[Picha na Ikulu.]

No comments :

Post a Comment