Global TV Online imeungana na TBC, Kituo cha Runinga cha Taifa kukuletea habari za michezo, yakiwemo matokeo kati ya Azam FC na Mbabane Swallows ya Botswana.
Kuanzia sasa, taarifa zote za habari za saa mbili za usiku kutoka TBC, zitakuwa zinakujia mubashara kutoka Global TV Online, ambapo utaweza kujionea kila kinachoendelea nchini, mahali popote ulipo.
Kutazama video hii na nyingine kama hivi, usikose kusubscribe kwenye youtube channel yetu....
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment