Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima, Josephat Gwajima amesema Rais Magufuli ni kama nabii kwani alijua wenye vyeti feki watatoroka wenyewe.
-Amedai Paul Makonda ana kosa la kufoji ambalo adhabu yake ni kufungwa miaka saba, wizi wa mtu anayetekeleza madaraka ya umma, kosa la kusema uongo chini ya kiapo na kupokea mshahara kwa jina la uongo
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment