Mwezi uliopita iliripotiwa habari ambayo iliibua mijadala kwenye mitandao kuhusu hatua iliyotolewa kwamba endapo utanunua jeneza kabla ya mtu kufariki utapatiwa punguzo la asilimia 30%. Mkurugenzi wa kampuni hiyo Macmillian Msiraki amesema tayari watu 7 wameshajitokeza kutoa oda.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment