Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, March 6, 2017

WAZIRI MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAJADILI UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI WA MWAKA 2016/2017 NA MALENGO YA MWAKA 2017/2018!

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto meza kuu) akizungumza na Watendaji Wakuu wa Wizara yake wakati wa Kikao cha Kujadili Utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa Mwaka 2016/2017 na Malengo ya Mwaka 2017/2018. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam leo. Kulia meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akizungumza na Watendaji Wakuu wa Wizara wakati wa Kikao cha Kujadili Utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa Mwaka 2016/2017 na Malengo ya Mwaka 2017/2018. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto meza kuu) akimsikiliza Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga wakati wa Kikao cha Kujadili Utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa Mwaka 2016/2017 na Malengo ya Mwaka 2017/2018. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam leo. Kulia meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments :

Post a Comment