Fenesi ni miongoni mwa matunda ambayo huwa hayapewi kipaumbele sana, lakini ukweli ni tunda hili licha kuwa halivutii sana machoni mwa watu, lakini ukweli kutovutia katika macho haimanishi na tunda lenyewe halifai. Kwa kuzingatia afya ya kila mtu fenesi Lina vitu ambavyo kitaalamu vinaitwa; lignan, isoflavone na saponin, ambavyo vinasaidia katika mambo yafuatayo;
1. Iinazuia cancer, kuzuia cancer na kutibu cells zilizoharibiwa na cancer, na magonjwa yanayotokana na uharibifu wa mazingira.
2. Iinasaidia mzunguko wa damu kufanya kazi vizuri, sababu fenesi Lina potassium, magnesium na iron nyingi, hivyo moyo wako unakuwa, katika hali ya usalama.
3. Iinasaidia tatizo la kukosa choo na kuondoa gesi tumboni, kaanga mbegu za fenesi bila mafuta au zichome, kisha uzile, au unaweza kuzitwangwa/kuzisaga baada ya kuzikaanga, kisha unatia kwenye kinywaji kama chai kisha unakunywa.
4. Linatibu vidonda vya tumbo, chemsha mizizi ya mfenesi, kisha kunywa maji yake.
5.Linatibu tatizo la kuwahi kufika mshindoni/ kileleleni kwa wanaume, na linasaidia kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake.

/Muungwana.
No comments :
Post a Comment