Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, April 21, 2017

IKULU ZANZIBAR YAICHAPA DAR!

Mchezo wa Tamasha la Pasaka wa netiboli Kati Timu ya Ikulu Sport Club Zanzibar na Ikulu Sport Club Dar es Salaam, mchezaji wa Timu ya Ikulu Zanzibar akijiandaa kurusha mpira huku mchezaji wa Ikulu Dar akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa kirafiki wa Tamasha la Pasaka uliofanyika katika uwanja wa amaan nje Timu Ikulu Zanzibar imeweendesha mchamcha warembo Ikulu Dar kwa kuwafunga mabao 22 - 8.
Viongozi wa Timu hizo wakifuatilia mchezo huo uliokuwa na upizani wa kuoneshana ufundi wa kumiliki mpira, Timu ya Ikulu Dar imezindiwa mbinu na kuondoka na majonzi baada ya kukubali kichapo cha mabao 22 - 8 







Wapenzi wa timu ya netiboli Ikulu Dar wakiwa na majonzi ya kichapo hicho. 

No comments :

Post a Comment