dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, May 20, 2017

Wajumbe wa Bodi ya Mapato Zanzibar(ZRB) ziarani Pemba!

WAJUMBE wa Bodi ya Mapato Zanzibar(ZRB)wakikagua kiwanja cha ZRB kilichopo Gombani nje kidogo ya Mji wa Chake Chake, ambachi wanatarajiwa kujengwa Ofisi ya ZRB Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAJUMBE wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) wakibadilishana mawazo baada ya kukagua eneo ambalo wanataka kujenga ofisi ya ZRB Kisiwani Pemba huko katika uwanja wa Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.
MSAIDIZI Meneja wa ZRB Kisiwani Pemba, Ali Omar akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya ZRB Mipaka ya Kiiwanja cha Ofisi hiyo, kilichopo nje ya uwanja wa Michezo Gombani ambazo wanatarajia kujenga Ofisi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MENEJA wa ZRB Kisiwani Pemba Said Ali Mohamed, akitoa maelezo ya Ofisi ya ZRB mkoani bandarini kwa wajumbe wa Bodi ya ZRB, wakati walipofanya ziara ya siku mbili Kisiwnai Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MWENYEKITI wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB)Saleh Sadik Osman, akizungumza na watendaji wa ZRB baada ya kumaliza kukagua ofisi ya bodi hiyo bandarini Mkoani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MENEJA wa GAPCO Dipoti ya Mafuta Wesha Kisiwani Pemba, Justice Mkubi akizungumza na wajumbe wa bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) walipotembelea GAPCO hiyo kujuwa Uingizaji na utoaji wa mafuta.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MJUMBE Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Mauwa Abeid Daftari, akichangia katika kikao cha pamoja na meneja wa GAPCO Dipoti Wesha, wakati wa ziara ya siku mbili Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

KAMISHNA wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Amour Hamil Bakar, akizungumza katika kikao cha Pamoja na Meneja wa GAPCO Dipoti ya Wesha, wakati wa ziara ya Siku mbili kwa wajumbe wa bodi hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MJUMBE wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Saleh Mbarouk, akizungumza katika kikao cha pamoja na meneja wa GAPCO Dipoti ya Wesha, wakati wa ziara ya siku mbili ya wajumbe hao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments :

Post a Comment