Seif Akida, organize wa shughuri mzima akipa Ukodak wa kumbukumbu na marafikia zake siku ya ya sherehe ya Eid El Fitri iliyofanya, 30 Overhill Rd. Mt Vernon New York.
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa, Mhe. Modest J. Mero na mama mwenye nyumba wake wakichukua chakula katika sherehe hiyo ya Eid El Fitri, Mh. balozi Mero alikuwa mmoja ya wageni waalikwa kwenye sherehe hiyo.
Bwana Mohammed Kibdya na mke wake kutoka Springfield wakichukua chakula , Kwa picha zaidi nenda soma zaidi.
Hii inaitwa ukishikwa shikamana.
Mchoma nyama kutoa Cambodia alikuja kwa shughuri hii tu. anitwa bwana Warcheerah
No comments :
Post a Comment