"If you don't know history, then you don't know anything. You are a leaf that doesn't know it is part of a tree." Ameandika Nape kupitia ukurasa wake wa Twitter leo Juni 29, 2017. Ambapo kwa tafsiri ya isiyo rasmi amemaanisha hivi "Kama huifahamu historia, utakuwa hujui lolote, Wewe ni jani lisilo fahamu kama ni sehemu ya mti"
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment