Jana July 26, 2017 taarifa kutoka ofisi ya Bunge zilieleza kuwa Spika Job Ndugai ameridhia kufutwa uanachama kwa Wabunge nane wa CUF na hivyo nafasi zao ziko wazi.
Leo mwenyekiti wa chama hicho Ibrahim Lipumba amezungumz na waandishi wa habari na ameizungumzia ishu hiyo.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment