Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, July 19, 2017

Dalili za Madhara ya Tezi Dume!

Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe za uhai katika tezi la kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalozunguka mirija ya kupitisha haja ndogo( mkojo).Ugonjwa huu kwa sasa unaweza kuwapata vijana wa kiume kuanzia miaka 25 na kuendelea tofauti na awali ilikuwa miaka zaidi ya 50.

Dalili za ugonjwa huu;
  1. Kwenda haja ndogo mara kwa Mara,hasa usiku.
  2. Haja ndogo Za ghafla zisizoweza kudhibitiwa.
  3. Mkojo unaotoka kwa udhaifu ama kwa kukatika katika .
  4. Damu kuchanganyikana na mkojo.
  5. Maumivu  yanaendelea kwenye maeneo ya mgongoni sehemu Za kiunoni,kwenye kinena au sehemu juu ya mapaja.
Madhara yake:
1.Kupungua kwa uwezo kufanya tendo la ndoa.Pia kusikia maumivu wakati wa kufikia kilele Na kukosa amani au kuhangaika  wakati wa tendo la ndoa.
2.Uambukizo wa magonjwa kwenye kipofu
3.Uambukizo  mwenge njia ua mkojo au figo.

Ndugu ugonjwa huu unaua hata wenye uwezo wa kifedha maana ni hatari sana chukua tahadhari sasa pia msaidie na mtu mwingine kupata taarifa hizi.

NJIA YA ASILI
Madaktari wengi wameanza kuamini kwamba Prostate ikitanuka inaweza kutibiwa au kuzuiwa kwa kuulisha mwili  virutubisho unavyovikosa.

Tunajua kwamba kuna virutubisho ,vya kula  ambayo unaweza kusaidia kutanuka kwa prostate Na viingine vinaweza kuuzuia cancer kukua Na kuenea zaidi.

Hivi ni virutubisho gani?

1.MULTIMINERALS(zinc)
Inazuia uzalishaji mwilini wa kemikali inayodhoofisha uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa.

2. POLLEN
Bidhaa imetokana Na nyuki ambayo inavirutubisho 22 ambazo ndan yake kuna vitamin Na madini muhimu ambazo inalisha na  kutunza tezi.

3. BETA CAROTENE
Kizuizi cha maambukizo ya magonjwa mbalimbali (antioxidant )inaboresha  mzunguko wa damu mwilini Na  inasaidia kuimarisha mbegu Za kiume Na uwezo  wa tendo la ndoa

4. GINSENG /MACA
Inaongeza uzalishaji wa homoni inayomfanya mwanaume awe Na nguvu Za kiume Na afya nzuri kwa ujumla.

5. GEL
Inazuia uvimbe ,inadhibiti maumivu,inaua vijududu mwilini,inaongeza seli znamwilini.Inaupa Melli nguvu,inasaidia kusaga chakula tumbo Na kirutubisho

Bidhaa hizo zimewekwa kwenye mfumo wa unga, maji au vidonge na kuja kutumika kama lishe.Hizi bidhaa  zinafanya kazi na kuliondoa  ukitumia mara kwa  mara.

NB:Hizi sio dawa Bali ni virutubisho asilia.

No comments :

Post a Comment