Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia Wananchi wa eneo la Stendi ya Mabasi Msamvu Mkoani Morogoro akitokea Mkoani Dodoma. Julai 27,2917.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akihutubia Wananchi wa eneo la Stendi ya Mabasi Msamvu Mkoani Morogoro waliokuwa wamejitokeza kumsalimia akitokea Mkoani Dodoma. Julai 27,2917.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akimsikiliza Bi Maria Gabrieli aliyemweleza Mh Rais Juuu ya kero za wafanyabiasahara ndogondogo wa Stendi ya Mabasi Msamvu Mkoani Morogoro kunyanyaswa. Julai 27,2917.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akimsikiliza Bi Halima Alli aliyemweleza Mh Rais Juuu ya kero za wafanyabiasahara ndogondogo wa Stendi ya Mabasi Msamvu Mkoani Morogoro kunyanyaswa. Julai 27,2917
No comments :
Post a Comment