dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, July 14, 2017

Timu ya Madaktari Diaspora Kutoka Marekani Watowa Huduma ya Afya Kwa Wananchi wa Bumbwini Misufini Zanzibar!


Wananchi wa Kijiji cha Bumbwini misufini wakiwa katika kituo cha Afya kupata huduma ilikowa ikitolewa na Madaktari Diaspora kutoka Nchini Marekani Mabingwa wa Maradhi ya Ngozi, Presha Kisukari na Madakrati wa Watoto wamekuwa katika kituo hicho cha Afya Bumbwini Misufini kutowa huduma hiyo kwa Wananchi wa Kijiji hicho Wakiwa Zanzibar kwa siku nne kwa ajili ya kutowa huma hiyo wameaza katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja. 
Daktari kutoka Diaspora Marekani akitowa maelezo kwa Wananchi wa Kijiji cha Bumbwini wakati wa kutowa huduma ya Afya kwa Wananchi hao.









No comments :

Post a Comment