Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, August 16, 2017

Rais Dk Shein aendelea na ziara Mkoa wa Kusini Unguja!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Ofisi ya MKuu wa Mkoa wa Kusini Unguja leo akiwa katika mwendelezo wa ziara zake katika Mkoa huo na kuanzia Wilaya ya Kati Unguja,[Picha na Ikulu.] 15/08/2017.

Baadhi ya Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia pichani ) alipokuwa akitoa maelekezo baada ya kupokea Taarifa za Utekelezaji Serikali ya Mkoa wa Kusini Unguja na Chama cha Mapinduzi katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tunguu katika ziara zake ndfani ya Mkoa huo,[Picha na Ikulu.] 15/08/2017.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliojumuika katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo Pichani) wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Nd,Idrissa Kitwana Mustafa alipokuwa akitoa taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, katika hafla hiyo ilifanyika leo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kusini Tunguu,[Picha na Ikulu.] 15/08/2017.
Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Nd,Idrissa Kitwana Mustafa alipokuwa akitoa taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja,wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo Pichani) iliyoanza leo katika Wilaya ya Kati Unguja hafla hiyo ilifanyika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tunguu,[Picha na Ikulu.] 15/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akipokea taarifa ya Utekelezaji ya Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla Ali alipofanya ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Wananchi katika Wilaya ya Kati Unguja,hafla ilifanyika leo Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kusini Tunguu ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake ndani ya Mkoa huo,[Picha na Ikulu.] 15/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia pichani ) alipokuwa akitoa maelekezo baada ya kupokea Taarifa za Utekelezaji Serikali ya Mkoa wa Kusini Unguja na Chama cha Mapinduzi katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tunguu katika ziara zake ndani ya Mkoa huo,[Picha na Ikulu.] 15/08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akipokea zawadi kutoka Mtoto Samira Suleiman Ali pamoja na kukaribishwa katika Mkoa wa Kusini alipoanza ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Wananchi katika Wilaya ya Kati Unguja,hafla hiyo ilifanyika leo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kusini Tunguu,[Picha na Ikulu.] 15/08/2017

No comments :

Post a Comment