dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, August 8, 2017

Rais Dk Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara alipokuwa katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili na Uongozi wa Baraza la Kiswahili,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji, [Picha na Ikulu.] 07 /08/2017. 
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza na Bodi hiyo, Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo na Uongozi wa Baraza la Kiswahili katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.] 07/08/2017. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo , Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili Zanzibar na Uongozi wa Baraza la Kiswahili katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.] 07/08/2017. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili Zanzibar Mhe.Mohamed Seif Khatib (kulia) akiwa na Dr.Maulid Omar Haji wakati alipokuwa akitoa taarifa ta Bodi yake wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo na Uongozi wa Baraza la Kiswahili, chini ya Mwenyekiti wa kikao hocho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 07 /08/2017.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili Zanzibar Nd,Mwanahija Ali Haji (wa tatu kulia) alipokuwa akitoa maelezo wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo na Uongozi wa Baraza la Kiswahili chini ya Mwenyekiti wa kikao hocho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),
[Picha na Ikulu.] 07 /08/2017.

No comments :

Post a Comment