Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, September 24, 2017

ZANZIBAR'S STONE TOWN AUTHORITY (MAMLAKA YA MJI MKONGWE) ACCUSED OF ISSUING A CONSTRUCTION PERMIT CONTRARY TO THE EXISTING ZANZIBAR'S LAWS!

 
Above: The Zanzibar Stone Town Authority (Mamlaka ya Mji Mkongwe) - the custodian of the old stone town in Zanzibar, has become the talk of the town among Zanzibaris as a permit is issued to construct a building at an old burial ground, right at the very doorstep of Zanzibar's High Court, where existing Zanzibar's laws do not allow such a construction! 
How did Mr HASHIM SWELUM get the permit from the Authority is anybody's guess!

Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa!

Hili ni eneo liliopo mkabala na Mahakama Kuu Zanzibar ambalo limetolewa kibali na kuanza kujengwa. Inasadikiwa sehemu hii ilikuwa ni makaburi zamani

Na Mkereketwa wa Mji Mkongwe
Kuna sheria Zanzibar inayozuia ujenzi katika maeneo yaliyowahi kuwa makaburi kuwa yabaki kuwa green/open spaces. 
Hili eneo lilikua na hadhi hiyo lakini ghafla limepewa kibali kujengwa katika mji huo huo mkongwe tunaombiwa kuna msongamano! 
Tena jengolenyewe lipo mkabala na Mahakama Kuu. 
Nani katoa kibali? Kwanini Mji Mkongwe hauna usimamizi maalum dhidi ya waliopewa dhamana?


1 comment :

  1. Huyo anaejenga anajitia hasara za bure, kwani Nd. Seif Ali Iddi akiipata hii habari basi jamaa atalia mdomo juu kama yule mwenziwe wa siku zile. Unataka kujenga mjini sio nunua jumba bovu ulijenge! Lakini kujenga makaburini ni laana na huyo aliyetoa permit pamoja na mjengaji wote watalaaniwa!!!

    ReplyDelete