Kama unakumbuka Oktoba 14 mwaka huu ilikuwa ni kilele cha mbio za mwenge ikiambatana na misa maalumu ya kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwl Julius Nyerere iliyofanyika Visiwani unguja katika mkoa wa mjini magharibi ikiongozwa na Mwenyeji wa mkoa huo RC Ayoub Mahmoud.
Katika shughuli walialikwa viongozi mbalimbali kiwemo Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam RC Paul Makonda akiwa visiwani humo alipatiwa Dereva na Gari aina ya 'Range Rover' na Serikali ya mkoa huo kwaajili ya usafiri wake binafsi katika shughuli hiyo.
RC Ayoub Mahamoud na RC Pual Makonda nao wajibu
No comments :
Post a Comment