MSIBA USA NA TANZANIA
Wapendwa Ndugu zetu Fadhil, Khalid na Saleh Londa,
wanasikitika kuwajulisha msiba wa Mama yao uliotokea jana nyumbani Tanzania.
Mazishi yalikuwa leo nyumbani Tanzania.
Kwa kuwafariji na kuwapa mkono wa pole:
Address :
3906 Greencastle Dr Apt #102
Burtonsville, MD 20866
Kuwasiliana:
Khalid: 2405659506
Fadhil: 3015479835
INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJIUN.
MOLA AMLAZE PEMA PEPONI MAREHEMU - AMEEN!
No comments :
Post a Comment