Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. Kangi Lugola (kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Faustine Kamuzora (kulia) mara baada ya mazungumzo ambapo Mhe. Kangi Lugola alijitambulisha kwa mara ya kwanza kama Naibu wa Wizara hiyo kwa Makamu wa Rais. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments :
Post a Comment