Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, October 1, 2017

MSIBA WA MTANZANIA MARYLAND!

MTANZANIA AKUTWA AMEKUFA KWENYE GARI WHITE FRINT MALL N BETHESDA, MARYLAND
Joseph Sylvester Ndyamukama, 51 Pichani juu mTanzania amekutwa amekufa kwenye maegesho ya magari kwenye mall ya White Frint karibu na duka la Shoppers iliyopo Bethesda ya kaskazini jimbo la Maryland.

Polisi wamesema marehemu alikutwa amekufa ndani ya gari siku ya Jumamtatu Sept 25, 2017  saa 8 mchana kwenye kiti cha nyuma karibu na duka la Shoppers.

Mwili wa marehemu ulipelekwa Baltimore kwa uchunguzi na taarifa ya sababu ya kifo chake itatolewa tu mara uchunguzi utakapo kamilika.

Baada ya habari ya kifo cha Joseph Sylvester Ndyamukama, 51 kuenea kwenye mitandano ya jamii na Luninga za Maryland, ndugu, jamaa na marafiki walipatikana na kuanza kufanya mipango ya mazishi ya mpendwa wetu.
Picha ikionyesha jinsi Polisi wakijaribu kutoa mwili wa marehemu kwenye gari Picha kwa hisani ya ABC 7 news

Taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na
Orgence Muliro 203 676 1230
Joseph Mzanila 240 388 7845
Irene 571 501 0122

No comments :

Post a Comment